Kanisa la Kwanza la Waadventista nchini Italia Linasheherekea Miaka 100 ya Imani na Ushuhuda
Kanisa la kihistoria la Montaldo Bormida limetambuliwa na Wizara ya Utamaduni huku washiriki wakikusanyika kutoka kote nchini kuadhimisha karne moja ya uwepo wa Waadventista nchini Italia.