ADRA Kuwajengea Manyumba Waathiriwa wa Tetemeko la Ardhi nchini Afghanistan

[Picha: ADRA International]

Takriban watu milioni 23 nchini Afghanistan wanategemea msaada wa kibinadamu kwa mahitaji muhimu, hivyo haja ya usaidizi haijawahi kuwa muhimu zaidi, inasema ADRA.