Chuo Kikuu cha Andrews Kinajivunia Viwango Vya Juu kwa Mwaka wa 2024
Mara nyingine tena, Chuo Kikuu cha Andrews kimepewa nafasi ya kwanza kama chuo kikuu cha kitaifa chenye utofauti mkubwa wa kikabila, kikiwa kimelingana na Sanford, Johns Hopkins, na Chuo Kikuu cha San Francisco.