Spring Meeting 2025

Live updates

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yatoa Idhini kwa Toleo la Saba la Kanuni za Utaratibu Kabla ya Kikao cha 2025

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu (GC) imeidhinisha masasisho kadhaa kwenye Kanuni za Utaratibu ambazo zitaongoza shughuli katika Kikao kijacho cha Konferensi Kuu. Marekebisho hayo yanashughulikia vipengele muhimu vya kiutaratibu, ikiwa ni pamoja na hoja za utaratibu, mbinu za kupiga kura, na sheria za akidi. "Kanuni hizi za utaratibu zinakusudiwa kutumika kwa heshima kwa kusudi la kimun...

Soma zaidi
Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yatoa Idhini kwa Toleo la Saba la Kanuni za Utaratibu Kabla ya Kikao cha 2025

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yaidhinisha Miongozo kwa Vikundi vya Nyumbani

Siku ya pili ya Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025 wa Konferensi Kuu (GC) ilihitimishwa na Kamati ya Utendaji kupiga kura kuidhinisha miongozo ya Vikundi vya Nyumbani. Mazungumzo kuhusu Vikundi vya Nyumbani yalianza katika Baraza la Kila Mwaka la 2024. Kisha iliamuliwa kupeleka neno hilo kwa Kamati ya Mwongozo wa Kanisa ili kuandaa miongozo rasmi kwa vikundi hivyo. Gerson Santos, katibu msai...

Soma zaidi
Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yaidhinisha Miongozo kwa Vikundi vya Nyumbani

Viongozi wa Waadventista Waidhinisha Miongozo ya Upanuzi wa Huduma za Kidijitali

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu (GC) imepigia kura miongozo ya upanuzi wa huduma za kidijitali katika makanisa ya Waadventista wa Sabato kote duniani, ikijadili upanuzi wa shughuli za kanisa mtandaoni kufuatia janga la COVID-19. "Katika enzi hii ya kidijitali, kupanua misheni yetu kupitia majukwaa ya mtandaoni ni fursa na pia hitaji," alisema Ramon Canals, katibu wa chama cha wahudumu ...

Soma zaidi
Viongozi wa Waadventista Waidhinisha Miongozo ya Upanuzi wa Huduma za Kidijitali

Elimu Inayolenga Misheni Inastawi katika Shule za Waadventista

Idara ya Elimu ya Konferensi Kuu (GC) iliripoti kuwa shule za Waadventista wa Sabato zimepata nafuu kubwa kutoka kwa janga la COVID-19, huku elimu ya msingi ikipona haraka zaidi na elimu ya sekondari bado ikiendelea kupata kasi. Sasa wanaandikisha zaidi ya wanafunzi milioni 2.3 duniani kote katika vyuo na vyuo vikuu 120 na takriban shule 10,500. "Tunachukua fursa hii kuwasalimu waelimishaji wal...

Soma zaidi
Elimu Inayolenga Misheni Inastawi katika Shule za Waadventista

Rais Mpya wa ADRA International Atambulishwa kwa Kamati Kuu ya Tendaji ya Konferensi Kuu

Shirika la Maendeleo na Misaada la Waadventista (ADRA) lilimtambulisha rais wake mpya, Paulo Lopes, kwa Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu (GC) wakati wa Mikutano ya Majira ya Kuchipua ya 2025. Lopes, ambaye alichukua uongozi Aprili 1, anamrithi Michael Kruger, ambaye amehamia nafasi mpya katika huduma ya afya ya Waadventista. Wakati wa utambulisho huo, rais wa GC Ted Wilson alisisitiza j...

Soma zaidi
Rais Mpya wa ADRA International Atambulishwa kwa Kamati Kuu ya Tendaji ya Konferensi Kuu

Wainjilisti wa Vitabu Nchini Ukraine na Urusi Waonesha Kazi ya Huduma za Uchapishaji

Ripoti ya Idara ya Uchapishaji iliyowasilishwa katika Mkutano wa Kila Mwaka wa Majira ya Kuchipua ilitumia video kuonyesha uwezo wa huduma ya uinjilisti wa vitabu kote duniani. Almir Marroni, mkurugenzi wa Idara ya Uchapishaji katika Konferensi Kuu, alishiriki kuwa hadithi ya wainjilisti wawili katika video hiyo inawakilisha kazi inayofanyika katika huduma za nyumba kwa nyumba.  Hadithi ya k...

Soma zaidi
Wainjilisti wa Vitabu Nchini Ukraine na Urusi Waonesha Kazi ya Huduma za Uchapishaji

Kamati Kuu ya Utendaji Yaidhinisha Kamati ya Uratibu na ya Kudumu kwa Kikao Kijacho cha GC

Siku ya pili ya Mkutano wa Kila Mwaka wa Majira ya Kuchipua ilifunguliwa huku Kamati Kuu ya Utendaji ikiidhinisha Kamati ya Uratibu na ya Kudumu kwa ajili ya Kikao cha Konferensi Kuu (GC) cha mwaka wa 2025. Hensley Moorooven, Katibu Msaidizi wa GC, aliwasilisha kamati tatu zilizopigiwa kura, ambazo ni: Kamati ya Uratibu ya GC (GC Steering Committee) Kamati ya Mwongozo wa Kanisa (Church ...

Soma zaidi
Kamati Kuu ya Utendaji Yaidhinisha Kamati ya Uratibu na ya Kudumu kwa Kikao Kijacho cha GC

Kamati Kuu ya Utendaji ya Kunferensi Kuu Yaidhinisha Mpango wa Kupanua Tafsiri za Ellen G. White

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu (GC) iliidhinisha mpango kutoka kwa Kamati ya Roho ya Unabii (SOP) wa kutafsiri maandiko ya Ellen G. White (EGW) kupitia mpango mpya uitwao Sharing the Gift of Light 2.0 . Mpango huo, uliowasilishwa na Merlin Bert, mkurugenzi wa EGW Estate , na Michael Sokupa, mkurugenzi msaidizi, unalenga kufanya maandiko ya White kupatikana kwa watu wengi iwezekanavy...

Soma zaidi
Kamati Kuu ya Utendaji ya Kunferensi Kuu Yaidhinisha Mpango wa Kupanua Tafsiri za Ellen G. White

Ann Hamel Atambuliwa kwa Maisha ya Huduma ya Kujitolea kwa Kanisa la Waadventista

Siku ya kwanza ya Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025 wa Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu (GC) ilihitimishwa kwa kutambua kwa namna ya kipekee Ann Hamel, mwanasaikolojia na mtoa huduma za afya ya kiakili wa GC, kwa kujitolea kwake kwa maisha yote katika kazi ya misheni. "Ni heshima iliyoje kuwa na watu wanaojitolea maisha yao kuwasaidia wengine," alisema Rais wa Konferensi Kuu, Ted Wi...

Soma zaidi
Ann Hamel Atambuliwa kwa Maisha ya Huduma ya Kujitolea kwa Kanisa la Waadventista

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yaidhinisha Mpango Mpya wa Mgawo wa Rasilimali

Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu imepiga kura kukubali mapendekezo saba kutoka kwa Kamati ya Utafiti wa Mgao ambayo yatabadilisha jinsi rasilimali za kifedha zitakavyogawiwa divisheni za dunia kuanzia mwaka 2026. Kamati hiyo, inayoongozwa na Tom Lemon, makamu wa rais wa GC, na Paul H. Douglas, mweka hazina wa GC, akihudumu kama makamu mwenyekiti, ilifanya utafiti wa kina wa kuainisha d...

Soma zaidi
Kamati Kuu ya Utendaji ya Konferensi Kuu Yaidhinisha Mpango Mpya wa Mgawo wa Rasilimali

Idara ya Hazina na Idara ya Uwakili za Konferensi Kuu Zashirikiana

Idara ya Hazina ya Konferensi Kuu (GC) na Idara ya Uwakili zimeungana ili kuongeza ushiriki wa washiriki katika kuiunga mkono misheni ya kanisa. "Lengo letu kuu lazima liwe kuinua imani badala ya kuchangisha fedha," alisema Paul H. Douglas, mweka hazina wa GC. Ushirikiano huu ulianzishwa kutokana na maoni wakati wa Kikao cha mwisho cha GC. Viongozi walifanya kazi pamoja kuandaa hati inayoelez...

Soma zaidi
Idara ya Hazina na Idara ya Uwakili za Konferensi Kuu Zashirikiana

Mweka Hazina wa Konferensi Kuu Ameripoti Uimara wa Kifedha, Kamati Kuu Yathibitisha Sera ya Kugawana Zaka

Wakati wa Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa Kamati Tendaji ya Konferensi Kuu (GC), Paul H. Douglas, mweka hazina wa GC, aliwasilisha ripoti ya kina ya kifedha inayoangazia uimara wa kifedha wa shirika hilo licha ya wasiwasi wa awali. "Kile tulichokadiria hakikutimia. Mungu alikuwa na mpango tofauti na tunamsifu Bwana kwa hilo," Douglas alisema. Douglas aliripoti ziada za mfuko wa uendeshaji ka...

Soma zaidi
Mweka Hazina wa Konferensi Kuu Ameripoti Uimara wa Kifedha, Kamati Kuu Yathibitisha Sera ya Kugawana Zaka

Ripoti ya Mweka Hazina wa Konferensi Kuu Yaonyesha Nafasi Imara ya Kifedha Mwishoni mwa Mwaka

Wakati wa Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025, Paul H. Douglas, mweka hazina wa Konferensi Kuu (GC), aliripoti kwamba hali ya kifedha ya GC kufikia Desemba 31, 2024, ni "imara," na mali halisi zikiwa jumla ya takriban dola milioni 338, 94% ya hizo zikiwa zimewekwa katika fedha taslimu na uwekezaji. "Tuko imara kwa sababu Mungu wetu yuko imara," alisema Douglas. “Uimara wa kifedha wa GC haut...

Soma zaidi
Ripoti ya Mweka Hazina wa Konferensi Kuu Yaonyesha Nafasi Imara ya Kifedha Mwishoni mwa Mwaka

Kiongozi wa Waadventista Gina Wahlen Atafakari kuhusu “Kwa Nini Mimi ni Mwadventista”

Katika Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa Kamati Kuu ya Konferensi Kuu wa 2025, Gina Wahlen alitoa ibada ya asubuhi ya kwanza kuhusu kwa nini anaendelea kuwa Mwadventista wa Sabato aliyejitolea. Kupitia hadithi za kibinafsi na maarifa ya kiroho, aliwaalika wasikilizaji kutafakari kuhusu safari zao za imani na kwa nini wao ni sehemu ya harakati hii ya kimataifa. Licha ya utoto mgumu uliosababishwa...

Soma zaidi
Kiongozi wa Waadventista Gina Wahlen Atafakari kuhusu “Kwa Nini Mimi ni Mwadventista”

Kanisa la Waadventista wa Sabato Lajiandaa kwa Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025

Uongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato utakutana kwa Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025, uliopangwa kufanyika Aprili 9-10 katika makao makuu ya Konferensi Kuu (GC) huko Silver Spring, Maryland, Marekani. “Mkutano huu ni muhimu tunapokaribia Kikao cha 62 cha Konferensi Kuu,” alisema Ted N.C. Wilson, rais wa GC. “Ni fursa ya kutathmini maendeleo ya misheni ya kanisa, kuoanisha mikakati ye...

Soma zaidi
Kanisa la Waadventista wa Sabato Lajiandaa kwa Mkutano wa Majira ya Kuchipua wa 2025